Sera ya faragha
Waterwells Portal inalinda taarifa za taasisi, watumiaji na visima vinavyorekodiwa kwenye mfumo.
Taarifa tunazotunza
Tunaweza kutunza jina, email, simu, taasisi, taarifa za kisima, GPS, picha, ripoti, mialiko na historia ya matumizi ya mfumo.
Matumizi ya taarifa
Taarifa hutumika kuonyesha maendeleo ya kazi, kuhifadhi ushahidi, kutoa ripoti na kuruhusu taasisi au wadau walioalikwa kuona taarifa husika.
Ufikiaji na usalama
Kila mtumiaji anaona taarifa alizoruhusiwa kuona. Kiungo cha mwalikwa ni cha kusoma tu na kinaweza kuwekewa muda wa kuisha.
Mawasiliano
Kwa swali kuhusu faragha au data yako, wasiliana na Majuneo Group Ltd.